Natafuta shareholders kwenye biashara ya Wakala wa usafirishaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta shareholders kwenye biashara ya Wakala wa usafirishaji

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Enny, May 29, 2012.

 1. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Habari wana JF.

  nilikuwa na wazo la kutafuta watu wa kuungana nao katika kufungua ofisi ya uwakala wa usafirishaji hapa Dar es salaam , Tunduma na Kyela.

  Mimi nina lori moja scania la kusafirisha mizigo ya madukani tani 15. kwa sasa linafanya biashara ya kusafirisha mizigo toka Dar kwenda Tunduma.

  nia yangu ni kupata watu wenye mtaji kidogo wa kukodisha ofisi na sehemu ya kuhifadhi mizigo ya watu kwa Dar na ikibidi kukodisha magari mengine kwaajili ya kusafirisha mizigo.

  kama kuna mtu yupo tayari tafadhari ni PM tufanye kazi.

  Asante
   
 2. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  good idea and good business
   
 3. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Vipi wana JF hamna watu walio interested jamani?
   
 4. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tuko interested lakini bado tunatafakari the way forward.

  Hii ni business lazima ufanye evaluation kabla ya ku venture.
   
 5. t

  truckdriver JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 504
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 60
  mimi nina truck(semi-trailer) moja linaloweza kubeba mpaka tani 30 pia container ya 20 na 40. Nipo interested kujua zaidi kuhusu idea yako.
   
Loading...