Natafuta shamba lenye ardhi yenye rutuba katika Mkoa wa Pwani

Husika na kichwa cha ujumbe.

Ninataka kununua shamba ifikapo Desemba. Napendelea Mkoa wa Pwani. Wilaya ya Kibaha, Chalinze au Mlandizi.

Bajeti yangu ni 200,000 per acre.

Karibuni.
Hutopata mi vigwaza tu nilinunua laki 7 kwa heka
 
Back
Top Bottom