Natafuta shamba lenye ardhi yenye rutuba katika Mkoa wa Pwani

Mr Confidential

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,496
2,365
Husika na kichwa cha ujumbe.

Ninataka kununua shamba ifikapo Desemba. Napendelea Mkoa wa Pwani. Wilaya ya Kibaha, Chalinze au Mlandizi.

Bajeti yangu ni 200,000 per acre.

Karibuni.
 
Husika na kichwa cha ujumbe.

Ninataka kununua shamba ifikapo Desemba. Napendelea Mkoa wa Pwani. Wilaya ya Kibaha, Chalinze au Mlandizi.

Bajeti yangu ni 200,000 per acre.

Karibuni.

Jaribu Kijiji kinaitwa Tukamisasa. Unaingilia Lugoba kama 10 km hivi. Barabara ni ya vumbi lakini iko chini ya TANROADS hivyo inapitika mwaka mzima (barabara inaunganisha Lugoba na Ubena Zomozi).
 
Husika na kichwa cha ujumbe.

Ninataka kununua shamba ifikapo Desemba. Napendelea Mkoa wa Pwani. Wilaya ya Kibaha, Chalinze au Mlandizi.

Bajeti yangu ni 200,000 per acre.

Karibuni.
Huko kote unaweza kupata ILA UTAINGIA INTERIOR SANA NA KWENYE MAPORI MAZITO. Ngoja wenye mashamba yao waje wakujuze Mr. Confidential.
 
Husika na kichwa cha ujumbe.

Ninataka kununua shamba ifikapo Desemba. Napendelea Mkoa wa Pwani. Wilaya ya Kibaha, Chalinze au Mlandizi.

Bajeti yangu ni 200,000 per acre.

Karibuni.

Kwa bei uliyotaja hapo huwezi pata shamba Kibaha wala Mlandizi bali unaweza bahatisha Chalinze interior/vijijini ndanindani sio karibu na barabara au sogea maeneo ya kuelekea Handeni hivi utapata
 
Njoo Kisarawe huku nikusitie mitambo.Hasa Kama unataka kuanzia kumi.
 
Njoo Kisarawe huku nikusitie mitambo.Hasa Kama unataka kuanzia kumi.
Hata mimi ningemshali ardhi yenye rutuba ksarawe lakini hyo bei kwa ekar wakati mimi Maneromango eka nilinunua kwa 700,000
 
Hata mimi ningemshali ardhi yenye rutuba ksarawe lakini hyo bei kwa ekar wakati mimi Maneromango eka nilinunua kwa 700,000
Mkuu siongei kitu nisichokuwa na uhakika nacho.Siku ukienda Maneromango Njoo Msanga sokoni hapa Ukirudi utakuja kutoa ushaidi hapa.Kuna mmoja kanishutumu hapo juu nimemchunia ila wewe uko Mango karibu Msanga sokoni.Ukiwa mgeni unapigwa hata heka 1M sisi tulioko huku miaka 10 Sasa tunanunua kwa Bei unayoitaka.Bei uliyouziwa wewe shamba tayari lina mazao unafikia kuvuna au unasubiri muda mfupi unavuna.
 
Back
Top Bottom