Natafuta shamba la heka 10,000 - 25,000 maeneo ya mkoa wa pwana, tanga na morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta shamba la heka 10,000 - 25,000 maeneo ya mkoa wa pwana, tanga na morogoro

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Akiri, Jul 12, 2012.

 1. A

  Akiri JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Wakuu linahitajika shamba la ukubwa chini heka 10,000 wa juu uwe heka 25,000 ni offer imeletwa ofisin kwangu wanunuaji wako serious tayari wamenunua katika maeneo mengine bado katika maeneo niliyoyataja. shamba liwe na mto katikati umeme na liwe linatambulika kisheria yaani watu aridhi . kwa aliyenalo nitafute niletee nyaraka na site plane ya eneo hilo nikuunganishe na mnunuzi. tuwasiliane 0657 14 5555. 0778 625 039, au 0686 200 117 na 0755 099 291
  mimi ni commission agent.
   
Loading...