Hello Hongera sana kwa kuamua kuwekeza.
Nakushauri Nenda Wizara ya Ardhi uwaulize mashamba yapi huko morogoro hayana mtu.
Au nenda CHC -http://www.chc.co.tz/
Tatizo ni taarifa (information) ili kujua mashamba yapi yapo wazi (hayana watu).
Kwanza anza kutafuta information, au TIC.
Nina hofu tu na Tatizo la rushwa, utakuwa tayari kuhongaaaa??? Maana serikali yetu bwana hupati kitu mpaka utoe rushwa.
mi nina eka 100 arusha sehem safi sana linafaa kwa hotel au lodge . kama vp ni pm