Natafuta Shamba ekari 200 hadi 500

Mrdash1

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,375
336
Wana JF nataka kuwekeza kwenye kilimo kwanza. nahitaji kupata shamba maeneo ya mikoa ya pwani na morogoro pasiwe mbali sana na morogoro road. Kuna mtu yeyote mwenye msahada tafadhali
 
Hello Hongera sana kwa kuamua kuwekeza.

Nakushauri Nenda Wizara ya Ardhi uwaulize mashamba yapi huko morogoro hayana mtu.

Au nenda CHC -http://www.chc.co.tz/

T
atizo ni taarifa (information) ili kujua mashamba yapi yapo wazi (hayana watu).

Kwanza anza kutafuta information, au TIC.

Nina hofu tu na Tatizo la rushwa, utakuwa tayari kuhongaaaa??? Maana serikali yetu bwana hupati kitu mpaka utoe rushwa.
 
Mkuu nashukuru kwa taarifa, ila hiyo link CHC haisemi chochote kuhusu mashamba. Kuhusu rushwa hakuna wasiwasi, mimi bongo ni kwetu nitacheza nao tu, nitadai haki yangu kwa sheria na siyo rushwa mfano Nilipata kiwanja mbwewe bila rushwa.
 
mi nina eka 100 arusha sehem safi sana linafaa kwa hotel au lodge . kama vp ni pm
 
Mashamba yanauzwa Kisarawe.
Bei kwa ekari moja ni Tshs. 1.5m (Milioni moja na nusu).
Kuna umbali wa kilomita 60 kutoka Ubungo.
Mashamba yamepimwa ila bado hati.
Kuna jumla ya ekari 267.
Maji yapo ya visima vya kuchimba ardhini.
Barabara inapitika vizuri.
Wateja ni wengi. Wahi usije kujilaumu baadaye.
Wasiliana na Oswald kwa simu namba 0784342634 au 0767342632
Au E-mail : cosiastore@yahoo.fr
 
lipo shamba morogoro eneo la kingolwira eka 520.lipo km 7 barabara ya dar moro.ukivuka magereza tu ndio lipo hilo shamba lipo pembeni ya mto ngerengere.lina tilte ded.0655000442 tuongee zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom