- Thread starter
- #101
Ahsante Ngushi, Kwa support yako na encouragement pia. Kwenye maisha kuna challenges nyingi Ila challenge kubwa no kuovercome mawazo hasi katika kutenda jambo Fulani. Mradi huu Kwa tafiti zilizopo, umeonyesha kuwa ni moja ya lucrative businesses. Ila kinachowafanya watu washindwe kurealize profit ni poor management as you have stated. Ukishaona Kwenye mradi mtu mmoja anasema kuna faida na mwengine anasema hakuna faida basi jua hapo namna watu hao wawili wanavyooperate hiyo business ndio their point of departure. Hivyo, Mimi huwa siwidiscouraged hasa na yale mawazo hasi mana sijui mtu anaendeshaje biashara hiyo hadi kujikuta anapata hasara wkt watu wengine wanasherehekea faida.Mmh wapi huko nguruwe hawana soko?
Halafu tatizo lako la kufa nguruwe wadogo hiyo ni kweli ila inatokana na poor management!
Hiyo ya nguruwe kukua zaidi ya mwaka tatizo ni mbegu mkuu!
Tena unamshauri mwenzio eti aende mkoani akatafute hao walienyeji ambao atafuga mwaka mzima
Wengi tunafeli kwasababu ya kukosa taarifa sahihi!
Namshauri mtoa mada asikate tamaa soko la nguruwe liko waxi kabisa haijalishi unafugia kujijini au mjini!
Loxodona endelea mkuu naamini Mungu akikusaidia hutojutia kabisa hii project
Lakini pia nimejifunza kuwa kuna Jambo la kujifunza hata Kwa wenye mawazo hasi. Ukiwapata nafasi ya kuwasikiliza utagain kitu muhimu Sana ktk biashara unayotakakuifanya.