Natafuta Serious Partner wa Kuanzisha Mradi Mkubwa Wa Nguruwe Tanzania

Mmh wapi huko nguruwe hawana soko?
Halafu tatizo lako la kufa nguruwe wadogo hiyo ni kweli ila inatokana na poor management!
Hiyo ya nguruwe kukua zaidi ya mwaka tatizo ni mbegu mkuu!
Tena unamshauri mwenzio eti aende mkoani akatafute hao walienyeji ambao atafuga mwaka mzima
Wengi tunafeli kwasababu ya kukosa taarifa sahihi!

Namshauri mtoa mada asikate tamaa soko la nguruwe liko waxi kabisa haijalishi unafugia kujijini au mjini!
Loxodona endelea mkuu naamini Mungu akikusaidia hutojutia kabisa hii project
Ahsante Ngushi, Kwa support yako na encouragement pia. Kwenye maisha kuna challenges nyingi Ila challenge kubwa no kuovercome mawazo hasi katika kutenda jambo Fulani. Mradi huu Kwa tafiti zilizopo, umeonyesha kuwa ni moja ya lucrative businesses. Ila kinachowafanya watu washindwe kurealize profit ni poor management as you have stated. Ukishaona Kwenye mradi mtu mmoja anasema kuna faida na mwengine anasema hakuna faida basi jua hapo namna watu hao wawili wanavyooperate hiyo business ndio their point of departure. Hivyo, Mimi huwa siwidiscouraged hasa na yale mawazo hasi mana sijui mtu anaendeshaje biashara hiyo hadi kujikuta anapata hasara wkt watu wengine wanasherehekea faida.
Lakini pia nimejifunza kuwa kuna Jambo la kujifunza hata Kwa wenye mawazo hasi. Ukiwapata nafasi ya kuwasikiliza utagain kitu muhimu Sana ktk biashara unayotakakuifanya.
 
Una mawazo mazuri na mipango mizuri sana, I hope tungekutana (ungeleta uzi) miaka miwili iliyopita ningekua perfect match wako, Ila Miaka imekwenda nimejikita kwenye majukumu mengine ya kitaaluma kwa sasa. Kila la heri anyways
Ahsante Sana "ndio walewale" Napata faraja kuona wazo langu kumbe ni valid.
 
mimi nmegundua ufugaji najilazimisha tu coz hubby anapenda ..mm nna kuku wa kienyeji tu nao wananiboaaa..wakianza kuwika au kutaga yale makelele km wako labor
Haa haa haa. Hii tena Kali. Kelele kama za labor tena? Kuku mbegu gani hiyo inayotoa kelele za labor?
 
Baki na dini yako usiwapotoshe watu hapa.
1Timotheo 4:1-5
"1.Basi roho anena waziwazi kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani wakisikiliza roho zidanganyazo na mafundisho ya shetan.....
...3.wakiwazuia watu wasioe na kuwazuia wajiepushe na vyakula ambavyo Mungu kaviumba vipokewe kwa shukran nalio na imani wenye kuijua hiyo kweli 4.kwa maana kila kiumbe cha Mungu ni kizuri wala hakuna cha kukataliwa kama kikipokewa kwa shukran 5. Kwa kuwa kimetakaswa kwa neno la Mungu na kwa kuomba.
Ahsante Kwa neno zuri Mtumishi Gomegwa G. Umemaliza kila kitu.
 
Mimi sijakukataza kula kitimoto isipokuwa nilijaribu kudadavua madhara yake mtu anapokula, mbona paketi ya sigara imeandikwa; "smoking cigarettes is harmful to your health", lakini wapo mazwazwa licha ya kuona hilo onyo bado wananunua na kuvuta nami sitashangaa hali hiyo kuwepo kwa walaji wa kitimoto.

Ukisoma maandiko matakatufu Qur'an na Biblia na hata mafundisho yw kiyahudi ulaji wa kitimoto ni haramu.

Wataalamu wa chakula na lishe (foods and nutritions experts) wanasema; "You are what you eat" yaani; upo kutokana na vyakula unavyokula (kitabia na mienendo).

Katika wanyama wanaoliwa na binadamu kimakosa ni nguruwe tu wanaifanyiana USHOGA na ni nguruwe ndiye viungo vyake vinashabihiana sana na viungo vya binadamu na ndiyo maana wataalamu wa utabibu wanasema viungo kama macho, maini, mafigo, kongosho, mapafu nk, ya nguruwe yanaweza kutumika kupandikizwa kama viungo mbadala wa viungo vilivyoharibika vya mwanadamu, kwa muktadha huo mtu anayekula nyama ya nguruwe yupo KARIBU mno na kula nyama ya binadamu ndiyo maana watu husema; aliyeanza kula nyama ya binadamu hawezi kuacha, na hapa umethibitisha mwenyewe uliposema; "pork meat is one of the best meat ever" na ukakazia point yako kuwa utakula kilo moja na ndizi 4,.

Nguruwe licha ya mwili wake kuwa na sumu nyingi lakini pia anacho kichochea kinachowafanya madume yao yapende "kugegedana" kichocheo hicho kinayo athari hiyo hiyo katika mwili wa mtu anayekula hiyo nyama.

Hatutaki sisi waafrika (waswahili) tuwe mashoga kama wazungu.
Ndugu yangu unaongea madhara ya ki-science au ya kiimani? Kama ya ki-science, utakuwa unasema uongo. Ila kama ya ki-imani, wengine hawana Imani uliyonayo wewe, Hivyo Acha Imani zao ziwaongoze, we endelea na Imani yako ili ikufikishe unapotaka kufika.
 
Bwana Yesu alisema: Msidhani ya kuwa nalikuja kutangua torati au manabii, la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie. (Mt. 5:17-18).
Ahsante mama Mtumishi FaizaFoxy Kwa neno. Ubarikiwe Sana.
 
Ahsante Rozanna Agro Africa, umeliweka vizuri Sana.
Nguruwe ni nyama tamu sana kwa kweli, kuhsu madhara, kitu chochote ukikitumia kupita kiasi kina madhara, hata nyama ya ng'ombe ina madhara... tusivuke mipaka, inapoishia haki yako, ni mwanzo wa haki ya mtu mwingine
 
Haa haaa haaa. Itakuwa sikio lako linaamplify sauti Yao. Mbona tunafuga vzr tu na hatusikii hizo kelele za labor? Au Banda lao lipo karibu na dirisha la chumbani?

Hqhahaa..mm jaman bas wananikera sana .nadhan ni wito...yaan kila dk huyu awike..huyu aanze kutetea ...yaan kichwa kinawakaga...mm wananiudhi..ila ss navyopenda nyama🤗🤗naishia kuvumilia
 
Hqhahaa..mm jaman bas wananikera sana .nadhan ni wito...yaan kila dk huyu awike..huyu aanze kutetea ...yaan kichwa kinawakaga...mm wananiudhi..ila ss navyopenda nyamanaishia kuvumilia
Kwakweli Bora uvumilie mana ufugaji Kwa ujumla wake Una faida despite changamoto zilizopo.
 
Ndugu yangu unaongea madhara ya ki-science au ya kiimani? Kama ya ki-science, utakuwa unasema uongo. Ila kama ya ki-imani, wengine hawana Imani uliyonayo wewe, Hivyo Acha Imani zao ziwaongoze, we endelea na Imani yako ili ikufikishe unapotaka kufika.

Mimi ninaongelea madhara yaliyothibitishwa kisayansi baada ya Mungu ambaye ndiye mwanasayansi mkubwa kuliko wote kutamka katika vitabu vyake kuwa mtu kula nyama ya nguruwe ni haramu (haitakiwi).
 
Mimi ninaongelea madhara yaliyothibitishwa kisayansi baada ya Mungu ambaye ndiye mwanasayansi mkubwa kuliko wote kutamka katika vitabu vyake kuwa mtu kula nyama ya nguruwe ni haramu (haitakiwi).
Hiyo article imekuwa published Kwenye journal gani? Naomba reference yake niicheck.
 
Ahsante Ngushi, Kwa support yako na encouragement pia. Kwenye maisha kuna challenges nyingi Ila challenge kubwa no kuovercome mawazo hasi katika kutenda jambo Fulani. Mradi huu Kwa tafiti zilizopo, umeonyesha kuwa ni moja ya lucrative businesses. Ila kinachowafanya watu washindwe kurealize profit ni poor management as you have stated. Ukishaona Kwenye mradi mtu mmoja anasema kuna faida na mwengine anasema hakuna faida basi jua hapo namna watu hao wawili wanavyooperate hiyo business ndio their point of departure. Hivyo, Mimi huwa siwidiscouraged hasa na yale mawazo hasi mana sijui mtu anaendeshaje biashara hiyo hadi kujikuta anapata hasara wkt watu wengine wanasherehekea faida.
Lakini pia nimejifunza kuwa kuna Jambo la kujifunza hata Kwa wenye mawazo hasi. Ukiwapata nafasi ya kuwasikiliza utagain kitu muhimu Sana ktk biashara unayotakakuifanya.
Ahsante! Wish you all the best mkuu!
Mi nafuga ila bado haujapanuka sana
 
Hiyo article imekuwa published Kwenye journal gani? Naomba reference yake niicheck.

Hivi "scientific findings" zote zimechapishwa kwenye journals??.

Mimi nimefanya uchunguzi kwanini Mungu ameharamisha kula nyama ya nguruwe na nikagundua licha ya nyama ya nguruwe kusababisha magonjwa kadhaa kwa binadamu (scientific proved) lakini pia anaambukiza "USHOGA" kwa wale wanaokula sana.

Na ukiangalia Mashoga wengi, sio wote, walianza kula kitimoto pindi walipokuwa wadogo.
 
Okay mtafiti.
 
😂😂😂😂😂😂😂 eti ushoga!😜😜😜😜😜😜
 
Okay mtafiti.

Mkuu Loxodona, unaweza kuona hichi ninachosema kama mzaha, lakini hakika siyo mzaha na wala kusudi langu si kukejeli wale wanaokula kitimoto kusudi ni kuwajuza with due respect juu ya hatari inaweza kuwakumba "in the long run"--- Mungu kukataza kula kitimoto kuna hekima kubwa na hiyo ndiyo hekima yake mkuu.

🙏🏻🙏🏻
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom