Natafuta sehemu ya kupangisha banda kwa ajili ya ufugaji wa Kuku

kiluvya gogoni yapo mabanda nipigie 0655404226 .km1 kutoka kwenye lami
 
Natafuta sehemu ya kupangisha banda la kuku kubwa. Kama litakuwa shamba itakuwa vyema pia. Dar au kibaha. Bajeti yangu ni 100,000 kwa mwezi
0713769013
Hongera kwa kujitambua kiongozi. Nawazimia watu wa degisn yako. Big up, Go go go go
 
MKUU KAMA NI HIVYO MIMI NAKUSHAURI NUNUA SHAMBA LAKI TANO UNAPATA PWANI heka moja nenda kaulizie chalinze then ufuge kwa uhuru laki moja kwa kila mwezi kubwa kuliko ukajitosa ukaandaa lako na ukafanya na mengine ila kama mtaji wako fixed chukua hilo la kukodi
 
Back
Top Bottom