Natafuta sehemu ya kujitolea, kazi au shughuli yeyote ya kunipa experience

We mtoto ni mpumbavu Sana.

Samahani lakini Bado una utoto mwingi sana. Duniani unapendwa na wewe tu. Narudia tena anaekupenda ni wewe. Wengine wote waliosalia wanapenda Thamani yako ( Value). Value ndio itakupa maisha na kuwa treated unavyotaka wewe. Ulichopaswa kufanya ni kuonesha value kiutendaji na sio maneno maneno. Kupitia value yako ungeshangaa unapewa hata mradi mwingine mkubwa kuliko huo unaouona wa kipumbavu.

Jifunze kuonesha Thamani yako kiutendaji. Hujawahi kuona watu wanajitolea ofisi mbalimbali Tena bure ??! Pale lengo Ni kuwapa nafasi watu waoneshe Value zao na baadae husjiriwa. Hakuna muajiri au mtu atakupa network kwa maneno yako ya huruma huruma, prove kwamba wewe ni wa thamani kubwa kiutendaji.

Kuna watu kupitia hizo kazi unazoziona za kijinga wamepata network za kazi either kupitia kwa wateja au mabosi. Mtu anafika hapo dukani anaona wewe ni wa Thamani and you deserve better anakupa kazi nyingine kubwa ila sio kwa maneno maneno tu na unavyojiona Bora.

Nilichojifunza bado una utoto mwingi, bado una akili za kichuo na ndoto za kipumbavu. Nakuhakikishia Kama usipobadirika hata ukipata kazi ya kuajiriwa nzuri hutadumu.
Umesema kweli.
 
Nashukuru
Hadi leo najiuliza je alikuwa na shida gani hadi aombe kazi yoyote humu kwenye social media ? Kama alikuwa na biashara zake alikuwa na maana gani?
Jana nilikuta mtt wangu aliyepo dukani alinipatia hiyo simu ila wanasema ilirudishwa hapo bila laini na bado laptop hatuwezi itumia ameweka password
 
login kwenye account yako au tumia 123456 kwenye account yangu
#kila lakheri
 
Nimesikiliza pande zote mbili na huu ni Uchambuzi wangu
Kwanza Bwana mdogo degree holder ana utoto mwingi na theory nyingi za chuo bado hana experience na mtaa bado ana zile expectations za chuo na Story za Salary mkiwa kwenye vibweta vya chuo ivo bado hajapita kwenye tanuri la moto,
Madam pia kwa kiasi fulani naona kama ali mtreat bwana mdogo vibaya haswa baada ya kumuona sio goal oriented na Amejaa bra bra kibao za Usomi ambao hakika ivo vyeti haviwezi kuleta chakula mezani kitu pekee madam angefanya kiubinadamu ni kumpa uyo bwana mdogo nauli haraka sana baada ya kumsoma alivo ili arejee alipo toka kitendo cha kumtreat vibaya hakikubariki mana madame nae ana watoto, na karma siku zote haipotezi adress yake
 
Habari zenu ndugu zangu,

Mimi ni graduate nina shahada ya teknolojia habari na mawasiliano (IT) jinsia mwanaume, umri miaka 25 nipo Dar es Salaam nina uzoefu katika networking and computer maintenance pia ni fresh from university mwaka wa masomo 2019/2020.

Baada ya kukaa mtaani kwa muda na kusambaza CV zangu hapa na pale bila kupata majibu nimejipata hali hii inanipa wakati mugumu nini cha kufanya mana muda nao unakwenda kasi nikijiangalia naona kama nipo nyuma.

Hivo basi, nimechukua uamuzi wa kuja huku kwenye hii familia kuomba kwa yeyote mwenye uhitaji na mtu mwenye kariba yangu anisaidie japo sehemu ya kujishikiza huku nikipata experience au hata kazi moja kwa moja kama ikitokea.

Pia kazi yeyote unayofundishika kwa muda mfupi naweza fanya mana nipo mwepesi kwenye uelewa.

Naimudu excel pia katika fani yangu hivo natanguliza shukrani kwenu.

Asante.

Mawasiliano: 0787357219
We are looking for someone with ICT skills
please contact us 0717157640
 
Huwezi kwenda mgeni uchagani alaf utoboe, sahau hilo. Mkuu pole kwa yaliyokukuta hata ningekuwa mimi siwez uza chips aiseee
 
Habari zenu ndugu zangu,

Mimi ni graduate nina shahada ya teknolojia habari na mawasiliano (IT) jinsia mwanaume, umri miaka 25 nipo Dar es Salaam nina uzoefu katika networking and computer maintenance pia ni fresh from university mwaka wa masomo 2019/2020.

Baada ya kukaa mtaani kwa muda na kusambaza CV zangu hapa na pale bila kupata majibu nimejipata hali hii inanipa wakati mugumu nini cha kufanya mana muda nao unakwenda kasi nikijiangalia naona kama nipo nyuma.

Hivo basi, nimechukua uamuzi wa kuja huku kwenye hii familia kuomba kwa yeyote mwenye uhitaji na mtu mwenye kariba yangu anisaidie japo sehemu ya kujishikiza huku nikipata experience au hata kazi moja kwa moja kama ikitokea.

Pia kazi yeyote unayofundishika kwa muda mfupi naweza fanya mana nipo mwepesi kwenye uelewa.

Naimudu excel pia katika fani yangu hivo natanguliza shukrani kwenu.

Asante.

Mawasiliano: 0787357219
kama unaweza kuishi moshi unaweza kuja na tutakupa nafasi ya kujitolea -MOSHI INSTITUTE OF TECHNOLOGY-MIT
Kazi kubwa ni kufundisha,kufanya kazi za service,networking ,graphic design na digital markerting.
Wasiliana nasi 0717157640
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom