Natafuta sehemu ya kujitolea, kazi au kazi yoyote ya kuniweka bize

soshoMidia

Member
Nov 11, 2020
70
62
Habari zenu ndugu zangu,

Mimi ni graduate nina shahada ya teknolojia habari na mawasiliano (IT) jinsia mwa,naume, umri miaka 25 nipo Dar es Salaam nina uzoefu katika networking and computer maintenance pia ni fresh from university mwaka wa masomo 2019/2020.

Baada ya kukaa mtaani kwa muda na kusambaza CV zangu hapa na pale bila kupata majibu nimejipata hali hii inanipa wakati mgumu nini cha kufanya mana muda nao unakwenda kasi nikijiangalia naona kama nipo nyuma.

Hivo basi, nimechukua uamuzi wa kuja huku kwenye hii familia kuomba kwa yeyote mwenye uhitaji na mtu mwenye kariba yangu anisaidie japo sehemu ya kujishikiza huku nikipata experience au hata kazi moja kwa moja kama ikitokea.

Pia kazi yeyote unayofundishika kwa muda mfupi naweza fanya mana nipo mwepesi kwenye uelewa.

Naimudu excel pia katika fani yangu hivo natanguliza shukrani kwenu.
#kwa sasa nipo Moshi mjini

Asante.

Mawasiliano: 0787357219 $ 0655014671
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom