Natafuta sehemu ya kujitolea(internship), ajira au shughuli yoyote ya kuniweka bize

soshoMidia

Member
Nov 11, 2020
70
62
Habari zenu ndugu zangu,

Mimi ni graduate nina shahada ya teknolojia habari na mawasiliano (IT) jinsia mwanaume, umri miaka 25 nipo Dar es Salaam nina uzoefu katika networking and computer maintenance pia ni fresh from university mwaka wa masomo 2019/2020.

Baada ya kukaa mtaani kwa muda na kusambaza CV zangu hapa na pale bila kupata majibu nimejipata hali hii inanipa wakati mugumu nini cha kufanya mana muda nao unakwenda kasi nikijiangalia naona kama nipo nyuma.

Hivo basi, nimechukua uamuzi wa kuja huku kwenye hii familia kuomba kwa yeyote mwenye uhitaji na mtu mwenye kariba yangu anisaidie japo sehemu ya kujishikiza huku nikipata experience au hata kazi moja kwa moja kama ikitokea.

Pia kazi yeyote unayofundishika kwa muda mfupi naweza fanya mana nipo mwepesi kwenye uelewa.

Naimudu excel pia katika fani yangu hivo natanguliza shukrani kwenu.

Asante.

Mawasiliano: 0787357219
 
Nimekupatia kazi umefanya kwa wik moja umetoroka na simu yangu na fedha za mauzo ya wiki nzima ninaomba nirudishie simu yangu na unitumie paswd ya laptop yangu uliyoifunga kwa paswd yako
IMG_6219.jpg

IMG_6211.jpg

IMG_6212.jpg

IMG_6213.jpg
 
Nimekupatia kazi umefanya kwa wik moja umetoroka na simu yangu na fedha za mauzo ya wiki nzima ninaomba nirudishie simu yangu na unitumie paswd ya laptop yangu uliyoifunga kwa paswd yako View attachment 1634231
View attachment 1634232
View attachment 1634233
View attachment 1634234
Doh jamani, watu kama Hawa ndio wa nafanya wenye shida kweli wasisaidiwe na wasiaminike.

Sasa huyu kishoia kaja kuomba msaada wa kupata kazi sasa hivi analeta jeuri.
Pumbavu zake,
Ila malipo huwa ni hapa hapa hatakaa afanikiwe kwa style hio.

Halafu anajiona mwamba na hicho ki degree chake cha uchochoroni. What a shame.
 
Nimekupatia kazi umefanya kwa wik moja umetoroka na simu yangu na fedha za mauzo ya wiki nzima ninaomba nirudishie simu yangu na unitumie paswd ya laptop yangu uliyoifunga kwa paswd yako View attachment 1634231
View attachment 1634232
View attachment 1634233
View attachment 1634234
Wakati munawasiliana ulimueleza ni kazi gani
Nimekupatia kazi umefanya kwa wik moja umetoroka na simu yangu na fedha za mauzo ya wiki nzima ninaomba nirudishie simu yangu na unitumie paswd ya laptop yangu uliyoifunga kwa paswd yako View attachment 1634231
View attachment 1634232
View attachment 1634233
View attachment 1634234
Aliandika hapa

Ila mkuu na ww ilibidi uangalie mtu ameandika qualification zake poffessional IT ingekuwa busara km ungempa kaz inayoingiliana kdgo na qualification alizozitaja hata kwa asilimia chache. Kuchoma chips na IT computer maintanance, kiukwel hajakosea kusema haoni future yake

Soma paragraph ya 4...
""Pia kazi yeyote unayofundishika kwa muda mfupi naweza fanya mana nipo mwepesi kwenye uelewa.""

Umeelewa alichomaanisha?

#YNWA
 
Habari zenu ndugu zangu,

Mimi ni graduate nina shahada ya teknolojia habari na mawasiliano (IT) jinsia mwanaume, umri miaka 25 nipo Dar es Salaam nina uzoefu katika networking and computer maintenance pia ni fresh from university mwaka wa masomo 2019/2020.

Baada ya kukaa mtaani kwa muda na kusambaza CV zangu hapa na pale bila kupata majibu nimejipata hali hii inanipa wakati mugumu nini cha kufanya mana muda nao unakwenda kasi nikijiangalia naona kama nipo nyuma.

Hivo basi, nimechukua uamuzi wa kuja huku kwenye hii familia kuomba kwa yeyote mwenye uhitaji na mtu mwenye kariba yangu anisaidie japo sehemu ya kujishikiza huku nikipata experience au hata kazi moja kwa moja kama ikitokea.

Pia kazi yeyote unayofundishika kwa muda mfupi naweza fanya mana nipo mwepesi kwenye uelewa.

Naimudu excel pia katika fani yangu hivo natanguliza shukrani kwenu.

Asante.

Mawasiliano: 0787357219
Mrudishie Basi mwana
1. Pesa zake za mauzo
2. Password ya laptop
3. Simu

Hutaki Kazi NI SAWA ila hupaswa kunyea kambi.

Unawaharibia wenzako wenye kuhitaji ajira kweli.
RUDISHA MALI ZA WATU.

#YNWA
 
Ila mkuu na ww ilibidi uangalie mtu ameandika qualification zake poffessional IT ingekuwa busara km ungempa kaz inayoingiliana kdgo na qualification alizozitaja hata kwa asilimia chache. Kuchoma chips na IT computer maintanance, kiukwel hajakosea kusema haoni future yak
Ila mkuu na ww ilibidi uangalie mtu ameandika qualification zake poffessional IT ingekuwa busara km ungempa kaz inayoingiliana kdgo na qualification alizozitaja hata kwa asilimia chache. Kuchoma chips na IT computer maintanance, kiukwel hajakosea kusema haoni future yake
Future haipo kwenye cheti ulichopata chuoni,zama zimebadilika na vijana inabidi tukubali kiendana na mabadiliko hayo.Vinginevyo tutaendelea kulalamika kila siku .
Maisha ni popote,kwa Tz ya sasa usitegemee sana degree yako.
 
Ni sawa ila character za boss, am a boss too. Unapofanya selection ya mfanyakaz lazma uangalie majukumu na aina ya mtu unaemuhitaji. Mfano wewe unaduka unachukua unamchukua mtu mweny masters ya biashara akakuuzie labda km huipendi biashara yako. Ukwel ni kwamba ni lazma utafeli. Usione mabosi wanawaajiri wafanyakaz mazuzu mkaona ni wajinga.yan ww unabiashara ya chips unamuajir mtu ana degree ya IT from university...atakuuzia kabati la chips ukiwa hapo hapo na akaondoka bila ww kujua

Mkuu mbona mimi niliajiriwa kuuza mishkaki na mihogo.Na nina degree ya Forestry(SUA) 2017.Na malipo yalikuwa 2000 kwa siku.Niliifanya kazi kwa weledi na niliifurahia sana kazi yangu.
 
Je unauza mpaka leo
Je unaweza kuuza kwa miaka 10 I mean insure consistency ya biashara uliyoajiriwa
 
Ni sawa ila character za boss, am a boss too. Unapofanya selection ya mfanyakaz lazma uangalie majukumu na aina ya mtu unaemuhitaji. Mfano wewe unaduka unachukua unamchukua mtu mweny masters ya biashara akakuuzie labda km huipendi biashara yako. Ukwel ni kwamba ni lazma utafeli. Usione mabosi wanawaajiri wafanyakaz mazuzu mkaona ni wajinga.yan ww unabiashara ya chips unamuajir mtu ana degree ya IT from university...atakuuzia kabati la chips ukiwa hapo hapo na akaondoka bila ww kujua
Kuna wanaijeria ninawajua Wana masters wanauza flash mitaani. Hizi sio story tembeeni muone.

Huku kujiona kwa wasomi uchwara wa TANZANIA ndiko kunawapa maisha magumu. Binadam huwezi kuwa Kama jiwe lazima uwe na flexibility kutokana na mazingira. Inakuaje elimu ikuzuie kufanya baadhi ya kazi. Sasa hapo utasema elimu imekusaidia au inakudumaza.

Mtu anakataa kazi ya chips ya 7000 kwa siku ambayo kwa mwezi ni almost 300,000 ila unamkuta anaajiriwa na kampuni za simu Kama customer care analipwa 170,000 kwa mwezi na ana enjoy.
 
Back
Top Bottom