Natafuta sehemu ya kufungua mgahawa

Pinkshlady

Member
May 20, 2017
7
6
habari wana JF, bila shaka mu wazima,
nahitaji msaada wenu, natafuta sehemu ya kufungua biashara ya chakula (Mgahawa) naishi Dar kama tapata maeneo ya mwenge, makumbusho, victoria au maeneo ya jirani na hayo

bajeti yangu ni 200.000

Namba zangu 0716044610
 
Nyie mkiambiwa ukweli mnaona kama tunawakatisha tamaa.. Bora tuseme ukweli kabla hamjaenda kuumia....

Hii biashara ni ngumu

kubwabwaja ndo kazi zenu mwisho wa siku mnaishia kuwa mapunga tu,

kila kitu mnaona kigumu kufanya kaa hivyo hivyo waache wanaofanya wafanye wakikutana na changamoto kichwa ndo kinachemka.
 
habari wana JF, bila shaka mu wazima,
nahitaji msaada wenu, natafuta sehemu ya kufungua biashara ya chakula (Mgahawa) naishi Dar kama tapata maeneo ya mwenge, makumbusho, victoria au maeneo ya jirani na hayo

bajeti yangu ni 200.000

Namba zangu 0716044610
Speaking from experience.. Ubungo riverside hakuna mgahawa mzuri wa kula.. Yaani migahawa iliyopo ni ya hovyo fulani hivi.

Kama utaweza kuweka misosi ya haja na unapika kwa usafi.. You will have decent market share. Na pesa utaiona tu.

Kumbuka
. Usafi
. Chakula kizuri
. Bei competitive

Utatoboa.. Ubungo riverside hata ile ngambo upande wa landmark mpaka mikasa hakuna sehemu ya kula.

Karibu
 
Back
Top Bottom