Natafuta sehemu ya kufanyia field ya masomo yangu katika media | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta sehemu ya kufanyia field ya masomo yangu katika media

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Fndibalema, Feb 29, 2012.

 1. F

  Fndibalema New Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naitwa Florence B. Ndibalema wa chuo kikuu cha Dar es Salaam natafuta sehemu ya kufanyia field yangu mnamo mwezi wa sita tar 25 hadi mwezi wa nane tar 17 hivyo kwa yeyote mwenye msaada wa kunipa hasa katika television stations and radio maana nasoma B.A in Fine and Performing Arts(THEATRE,TV PRODUCTIN&CINEMATOGRAPHY) MAWASILIANO :florencendibalema@yahoo.com au 0657984647.nitashukuru kwa msaada:A S 465:
   
 2. D

  DOMA JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Karibu kwetu Voice of america-woshngton Dc USA
   
 3. kiagata

  kiagata Senior Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Tembeza CV pamoja na maombi ktk radios na TV stations za ndani utapata.Wengi wanaogopa kutoa nafasi sababu hawana hela za kulipa wana chuo kama posho. Kazi kwako.
   
 4. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,791
  Trophy Points: 280
  Apply .....mlimani tv.....
   
 5. F

  Fndibalema New Member

  #5
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nitajaribu
   
Loading...