Natafuta sehemu ya kokodi morogoro nifungue bar

The bos

JF-Expert Member
Feb 15, 2014
350
80
Habar wakuu.nimefanya tafifi zangu na ninerizika sana na uwekezaji wa bar mjini morogoro.changamoto niliopata ni kupata sehemu hivyo mwenye taarifa ya sehemu nzuri ya kukodisha au mwenye sehemu basi tuwasiliane pm tuangalie inakuwaje.thanks all
 
nane nane, kihonda, mazimbu, kule kwenye ofisi za tumbaku nimesahau jina kunaitwaje...
 
Back
Top Bottom