Natafuta sehemu ya bishara ya glocery, bucha, saloon pamoja na video library mkoani Mtwara

pipi mti

JF-Expert Member
Dec 14, 2017
764
513
Habari wakuu.

Naomba msaada kutoka kwa mtu yeyote ambaye ni mwenyeji wa Mtwara, anayeweza kunisaidia kupata eneo zuri kwaajili ya biashara ya bucha, saloon, glocery pamoja na video library.

Nimehamishiwa huku kikazi hivyo nalazimika kuhamishia huku biashara zangu ndogo ndogo nilizokua nikijishughulishanazo mkoa niliotoka.

Nitatoa kifuta jasho kwa atakayenisaidia kufanikisha zoezi hili.

Asante.


#mods naomba msaada wa kuedit heading. "Kwaajili ya" na sio "ya kwaajili ya".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtwara mjini au wapi be specific.

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom