Natafuta sehemu Tanzania nitakapopata nyama choma au supu ya Mamba au Kenge

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,305
15,033
Wakuu

Hivi nchi nzima na kubwa namna hii hakuna mkoa au sehemu ninapoweza kupata nyama choma ya mamba au nyama choma ya kenge?

Hao wanyama ni watamu sana hata kuku haoni ndani kwa utamu wake kwanza ni nyama laini halafu ni white meat.
 
Wakuu
Hivi nchi nzima na kubwa namna hii hakuna mkoa au sehem napoweza kupata nyama choma ya mamba au nyama choma ya kenge?

Hao wanyama ni watam sana hata kuku haioni ndani kwa utamu wake kwanza ni nyama laini halafu ni white meat.
Hayo mambo utayapata huko visiwani zenji isee nilikuwa huko last year kunamahali kulikuwa na kidibwi kenge akarogwa kuingia humo niliona njemba tatu zina mkimbiza vibaya mno nikabaki mdomo wazi nn hawa watu wanafanya!

Yaani funga na kufumbua yule kenge ameshadakwa jamaa waka mchuna ngozi na kumpika supu mm naona isee wakanunua na mikate yao ya boflo inaitwa wanasema hakuna nyama tamu km hii mm nilishidwa kula kwanza nawaogopa hao wadudu.
 
Mkuu like seriously ,!!!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya Nini Upambane Na Mali Asili? We Kula Kuku Na Ng'ombe Au Kitimoto, Usitake Ugomvi Na Mali Asili Kwa Kula Nyama Za Wanyama Wanaolindwa
 
Wakuu
Hivi nchi nzima na kubwa namna hii hakuna mkoa au sehem napoweza kupata nyama choma ya mamba au nyama choma ya kenge?
Hao wanyama ni watam sana hata kuku haioni ndani kwa utamu wake kwanza ni nyama laini halafu ni white meat.
Spy....
Hatutoi taarifa kizembe.
 
Back
Top Bottom