Natafuta sehemu kwa ajili ya kupata uzoefu

Licchie20

Senior Member
Oct 31, 2016
125
75
Kama kichwa cha habari apo juu kinavyojieleza,Mimi ni kijana wa kitanzania (mwanaume)niliyemaliza bachelor of science in ICT with management natafuta sehemu kwa ajili ya kupata uzoefu wa kazi.Natanguliza shukrani za dhati kwa wadau wote wa jamii forum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom