Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Check black market kule kuna kila kitu hadi vifaru vya jeshi wanauza
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh mkuu nipe mchongo wa huko ulikopigwa makofi 😂😂😂😂Wivu utakuua bro. Acha kumfatilia shemeji namna hio 🤣🤣🤣 mi nilikufa nikatiwa vibao kaburini hadi nikafufuka na nimerudi duniani sitaki tena ujinga wa kumfatilia mwanamke.
daahMwanamke akikuchukia, anaweza kukunyima Mtoto aliye tumboni!
Mwanamke akikupenda, anaweza kukupa Mtoto wa Mwanaume Mwenzio!
dohMwanamke akikuchukia, anaweza kukunyima Mtoto aliye tumboni!
Mwanamke akikupenda, anaweza kukupa Mtoto wa Mwanaume Mwenzio!
Mkuu siwezi kutuma humu link maana ni kinyume na sheria za nchi na Jf...kukusaidia tu check youtube maujanja yote yapo
Sent using Jamii Forums mobile app