Natafuta Scholarships

Mhafidhina

JF-Expert Member
Feb 6, 2008
549
22
Jamani wandugu,

Amani iwe kwenu, naomba kujitokeza na ombi langu kwenu.

Jamani natafuta scholarship za Masters of Laws (LLM) popote ulimwenguni, naomba kama kuna mtu yoyote mwenye infomation about Scholarships za Masters of Laws (LLM) aniambie tafadhali sana wandugu...! Hata kama wanatoa partial scholarship mi naomba mniambie, i can fund half of the fees.

Asanteni sana kwa msaada wenu, Natanguliza shukrani zangu.

Mhafidhina.
 
www.udsm.ac.tz
 
Huyo ni Mama bwana, maana anamwambia Scholarship ipo just around the corner. (Good One)
 
Mama that was a good response. Huyo ndugu akaangalie UDSM, it won't hurt his pocket. Ila pia Mhafidhina hujatoa details za kuweza kukupa mwangaza wa kutosha.
1. scholarships zinapatikana UDSM ila siku hizi kipaumbele wanapewa wafanyakazi kwanza wa pale- Human resource capacity building. Sijui kama zile za zamani kama SIDA-SAREC zinapatikana. kama zipo basi zipo based on merit. Uwe una GPA 3.8 and above. Ila kumbuka ni competitive so you stand a great chance kama una GPA kuanzia 4.2 kwenda juu

2. Kuna scholarships zinatolewa kwenye embassies mbali mbali ila nyingi ziko limited to certain industries na inategemea na nchi husika Kama Norway wanatoa zaidi kwenye Forestry na engineering, Sweden pia. Ila pia kumbuka Nchi hizi ndio zenye kutoa scholarships kupitia vyuo hapo nchini na nyingi zinaona ni vyema watoe scholarships locally.

3. fani uliyosemea kidogo kupatikana scholarships ni ngumu maana inachukuliwa kama a speciality degree program hasa katika nchi zilizoendelea. Kwa hiyo scholarships ni chache sana na kama zipo you have to work really hard kuzitafuta. Mara nyingi hazitangazwi. Kwa hiyo steps ninazokushauri ni hivi.
a. Fanya internet search ya Universities kadhaa online kufuatana na preference ya nchi unayotaka au speciality of Law degree unayotaka lets say Petroleum law, Business law etc
b. Angalia na qualifications ulizonazo kama zina-meet requirements
c. Kumbuka graduate schools nyingi zinatangaza umuhimu wa kufanya standardized tests kama TOEFL, GRE and the like kama ni necessary. make sure you are aware of the score requirements
d. Contact mtu kwenye idara hiyo mweleze intentions zako. Uliza maswali muhimu sana kama ada, location, scholarships, standard of living, study requirements
e. Kumbuka kutafuta shule ni PROCESS. Kwa hiyo you have to be determined katika search yako na usikate tamaa. Ujipe muda unaofaa kujiandaa kwako

ALL THE BEST.
 
Huyo ni Mama bwana, maana anamwambia Scholarship ipo just around the corner. (Good One)

Kisura, huyo shida yake pa kusoma, ana vijisent maana kasema akipata partial scholarship anaweza kujazia (sehemu yeyote duniani). Kwa hivyo vijisenti hapo tanzania hawezi jisomesha hadi PhD?
 
Kisura, huyo shida yake pa kusoma, ana vijisent maana kasema akipata partial scholarship anaweza kujazia (sehemu yeyote duniani). Kwa hivyo vijisenti hapo tanzania hawezi jisomesha hadi PhD?

Anasoma kabisa Mama, au labda yeye anataka kwenda ng'ambo?
 
... Hata kama wanatoa partial scholarship mi naomba mniambie, i can fund half of the fees.

Mhafidhina, hiyo statement hapo imepinda mno. LOL!

Kwa sababu half tuition ya Stanford Law ni zaidi ya full tuition ya Thurgood Marshall Law.

Kama unaweza kulipa 1/2 fee ya 'mahala popote ulimwenguni' basi unaweza kulipa full tuition ya mahala pengi sana ulimwenguni.

Sasa tuanze tena basi.

Hiyo 1/2 tuition unayoweza kulipa wewe ni kiasi gani?
 
Kuhani...! Nahukuru kwa kuuliza na kuomba maelezo. Kwa kifupi ni kwamaba natafuta shule nje ya Tanzania yenye scholarship kwa ajili ya Masters of LAW (LLM) nimekua nikijaribu kutafuta lakini naona sipati, ndio maana nikaja hapa JF ili kuomba msaada wenu. Well, kiwango ambacho naweza kutoa kama ada ya kuchangia ni kama dola 3,000 tu sasa naomba unisaidie nianzie wapi? Ningependelea vyuo vya ulaya au marekani au pengine canada, Afrika kusini nako sio mbaya, ila naogopa sana hali yao ya kisiasa kwa sasa, nsije nikachinjwa bure. Natumaini kwa maelezo hayo sasa nimeeleweka, naombeni msaada wenu sasa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom