Natafuta Scholarship

Miss liquid

Member
Apr 25, 2019
24
14
Hello, niliomba nafas ya kusoma masters katika chuo fulani apa Tanzania, nimebahatika kupata nafasi
Swali langu ni Je naweza kuomba sponsership kwenye shirika lolote au ni lazima kusubir zile zinazotangazwa na chuo husika??
Wasiwasi wangu ni je ukisubir alafu ukakosa?? Si nitakua nepoteza nafas ya kusoma mwaka ujao 2020 ?
Naombeni ushauri na maelekezo mengine kama yapo
Pia kwa anaefahau watu/mashirika yanayotoa sponserships hapa Tanzania /nje ya Tz .
Asanteni.
 
Jifunze kwanza kuandika sponsorship kisha urudi hapa na mwandiko unaoeleweka.
Wasomi wa nchi hii,sijui wana shida gani!!?!!
Acha kujifanya mjuaji ungeacha kama haikuhusu, bas unajikuta bonge la mjanja sepa kule,
 
Zpo
Hello, niliomba nafas ya kusoma masters katika chuo fulani apa Tanzania, nimebahatika kupata nafasi
Swali langu ni Je naweza kuomba sponsership kwenye shirika lolote au ni lazima kusubir zile zinazotangazwa na chuo husika??
Wasiwasi wangu ni je ukisubir alafu ukakosa?? Si nitakua nepoteza nafas ya kusoma mwaka ujao 2020 ?
Naombeni ushauri na maelekezo mengine kama yapo
Pia kwa anaefahau watu/mashirika yanayotoa sponserships hapa Tanzania /nje ya Tz .
Asanteni.
Zipo za nje ila inategemea na coz unayochukua kama upo science njoo PM kama art basi wala usihangaike kunitafuta mkuu
 
Hello, niliomba nafas ya kusoma masters katika chuo fulani apa Tanzania, nimebahatika kupata nafasi
Swali langu ni Je naweza kuomba sponsership kwenye shirika lolote au ni lazima kusubir zile zinazotangazwa na chuo husika??
Wasiwasi wangu ni je ukisubir alafu ukakosa?? Si nitakua nepoteza nafas ya kusoma mwaka ujao 2020 ?
Naombeni ushauri na maelekezo mengine kama yapo
Pia kwa anaefahau watu/mashirika yanayotoa sponserships hapa Tanzania /nje ya Tz .
Asanteni.
Karibu Fulgent Careers, washauri wa masuala ya elimu ndani na nje ya nchi. Utajibiwa maswali yako yote na huduma za ziada kwa gharama ya Tsh 5000 tu. 0769 524 022.
 
Back
Top Bottom