Natafuta satabaliser link ya nyuma subaru forester

shalet

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
3,428
3,510
Habari nahitaji stabaliser link kwa ajiri ya subaru forester crossport iliopo imechoka gari inagonga kwenye bumps. Nahitaji moja tu niambie eneo ulipo na bei kwenye pm.
 
Wabongo watu wa ajabu sana...wanaagiza magari ila kuagiza spare wanaogopa!
naweza agiza ila kama ipo kwa bei tofauti kidogo nakuagiza ni bora nikachukua hapa
 
Habari nahitaji stabaliser link kwa ajiri ya subaru forester crossport iliopo imechoka gari inagonga kwenye bumps. Nahitaji moja tu niambie eneo ulipo na bei kwenye pm.

Mpya: nenda kariakoo karibu na kituo cha mafuta cha TOTAL zamani gapco kun aduka la spea za subaru kibao

Used: tembelea maduka ya spea ya pale ilala machinga complex, ukifika pale ulizia duka la zizou utapata spea kibao ndioko naendaga kununua.
 
Shukran boss vip used zinadumu kiasi.
 
yeah ziko zenye hali nzuri unakaa nayo sana, infact mie nilibadili shocks mpya za mbele ila nyuma nikaweka used, mwaka wa tatu huu,
Ni subaru pia? kias gani walichaji kwa used na mpya shockup.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom