Natafuta sales man ambaye ni mzoefu

chodoo

Member
Mar 6, 2012
85
33
Natafuta salesman ambaye anauzoefu wa kusambaza bidhaa kwenye maduka ya rejareja, awe ana leseni ya udereva na awe anafahamu route angalu mbili ambazo ameishawahi kuzisambazia bidhaa, mshahara una range kati ya 250,000-280,000 kwa mwezi , maongezi ya bonus yatakuwepo kutegemea na uzoefu na kujituma . tuwasiliane in box
 
yoyote ambaye anajiona anasifa tuwasiliane inbpox

kazi ni Dar es salaam, gari inayotumika ni hizi ndogo km carry
Mi ni dereva nlishawah fanya kazi ya daladala mbezi kawe ila kwa njia zingne zizielew kwa mjini, ila nna leseni c1, cjawah kufanya kazi hyo kama ntafaa nijib niaply, kwa sasa nna nipo mkoani nimerud kusalmia
 
natafuta salesman ambaye anauzoefu wa kusambaza bidhaa kwenye maduka ya rejareja, awe ana leseni ya udereva na awe anafahamu route angalu mbili ambazo ameishawahi kuzisambazia bidhaa, mshahara una range kati ya 250,000-280,000 kwa mwezi , maongezi ya bonus yatakuwepo kutegemea na uzoefu na kujituma . tuwasiliane in box
Nina uzoefu bosi wa miaka zaidi ya 8 nina vigezo tajwa eneo ninalolimudu ni Dodoma, Singida ndilo nilikuwa nalifanyia kazi, jina langu kama linavyojieleza ufafanuzi zaidi kupitia 0767358936/0787358936.
 
Back
Top Bottom