Natafuta sababu ya kuachana na mpenzi wangu ambayo watu wa karibu watanielewa

Inaonekana wewe ndie una matatizo ndio maana hata unawaza namna ya kumuacha huyo mwenzako.

Tabia mbaya huwa huwa haijifichi..... Hata ufanyaje watu watajua.... Sasa kama watu wa pembeni hawana shida nae basi ni wewe ndio utakuwa na shida hebu jikague.....

Maana hata huu uzi tu umekaa kindezi unaonekana hajielewi kiakili ....
 
Tunaposema watoto wadogo wakae mbali na mambo ya mahusiano kabla ya umri huwa tuna maanisha kuwa mahusiano ni kwa ajili ya watu waliokomaa na kupevuka kiakili....watu wa aina hiyo wana maamuzi juu ya maisha yao wakati wowote na dhidi ya mtu yoyote!
 
Kama Humtaki Mwache Aende Zake Salaam
Usimtafutie Sababu
Nakukumbusha Kuwa Mapenzi Kizunguzungu
 
Back
Top Bottom