Natafuta Room maeneo ya Mawasiliano na Msewe.

jombi95

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
1,404
2,156
Wakuu , baada ya jana kuzunguka sana Maeneo ya Mawasiliano na Msewe na madalali wa kule nimekosaaa room.
Kama kuna yoyote ambae anaishi maeneo hayo na yuko karibu kuachia room naomba tuchekiane PM.
Budget yangu ni 70k
 
Back
Top Bottom