Yaani wew aliyekuroga tumwite tumchape, maanake umashindikanaKwanini usinunue toroli na chenchi itabaki
Hahahaaaaaaa,,,,,hapana mkuu sio kwa million 4 kama akpata basi spana mkononiYaani wew aliyekuroga tumwite tumchape, maanake umashindikana
Hahahaaaaa,,,,polemwe! hamna hata huruma mnanipa za usoni
Kuna rav4 short chasis ya mwaka 98 inatembea sema imechokaWakuu hali imebana natafuta gari RAV4 nina milioni 4 tu