Heshima kwenu wana jamvi,kichwa cha habari kinajieleza,cjui sana kuhusu magari wadau kama kuna yoyote anaeuza ama anawezakunisaidia kupata rav 4 milango mitano,rangi c inshu iwe haijapata ajari..bajeti yangu ni 7 m..0758 144803
Passo au vitz
ya kununa?mie ninayo ya kucheka lakini siiuzi!heshima kwenu wana jamvi,kichwa cha habari kinajieleza,cjui sana kuhusu magari wadau kama kuna yoyote anaeuza ama anawezakunisaidia kupata rav 4 milango mitano,rangi c inshu iwe haijapata ajari..bajeti yangu ni 7 m..0758 144803
Mkuu ngja njichange