Natafuta ramani za viwanja vilivyopimwa Gezaulole, Kibada, Bunju | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta ramani za viwanja vilivyopimwa Gezaulole, Kibada, Bunju

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Gelange Vidunda, Sep 27, 2012.

 1. Gelange Vidunda

  Gelange Vidunda JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 312
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuna yeyote anayejua kama ramani za hivi viwanja vilivyopimwa katika vitongoji vya Dar es Salaam vipo online? Na kama vipo online naomba address yake tafadhali.
   
 2. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,725
  Likes Received: 1,631
  Trophy Points: 280
  unataka nini eleza kama kiwanja ni 50m na g u ni 20m
   
 3. Gelange Vidunda

  Gelange Vidunda JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 312
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nataka ramani za viwanja, yaani plots, layout, ramani mji, sio bei wala ukubwa.
   
 4. OMBUDSMAN mtoto

  OMBUDSMAN mtoto Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haviko online subiri hili liko jikoni ingawa itachukuwa muda kidogo.
   
 5. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  nenda manispaa ya temeke
   
 6. Atukilia

  Atukilia JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2014
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 643
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Ki ukweli viwanja vilipaswa viwe online, mtu ujue kila eneo linamatumizi gani, haya mambo ya kwenda hadi manispaa yanasababisha foleni na kupunguza tija kitaifa
   
 7. mwillab

  mwillab Member

  #7
  Sep 20, 2014
  Joined: Sep 11, 2014
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nenda ofisi za manispaa
   
Loading...