Natafuta rafiki

mbenda said

JF-Expert Member
Apr 13, 2019
1,019
1,945
Habari za jumatatu ya mwisho wa mwezi wana JF.

Pole na pilika pilika za jumamosi na juamapili.

Nisiwachoshe sana wana jf.

Natafuta rafiki wa kike awe na umri wowote kuanzi miaka 20 na kuendelea.

Awe anaishi Dar es Salaam

Awe huru kwa lolote na chochote muda wowote,

Natafuta rafiki wa kike ni rafiki tu sio wa kuingia nae ktk mahusiano .

Lengo NI kubafilishana mawazo ,

Kushauliana ,

Kusaidiana na
Kutembeleana .
Haijalishi awe ana mume au mpenzi na urafiki wetu utakuwa huru kwake na kwangu, kwa maana utatambulika kifamila .

Kwa aliekuwa tayali aje mp , rafiki wa kawaida sio mpenzi zingatia sana hili.

Karibu sana marafiki wenye uwelewa

Tafadhali unakaribishwa mp
 
Marafiki hawatafutwi bali wanakuja katika maisha yako na kondoka "automatically"
Ishi na wazo lako, ila miaka ya zamani niliwai kupata rafiki wa kike kupitia magazeti ule urafiki niliufurahia sana na tulikaa kwa miaka 3 hatukuwai kuonana maana alikuwa mbali na mkoa niopo mm, kupitia yeye nikahamiana na watu wengine lkn pia kupitia mm akafahamiana na watu wengine kama kaka zangu nk, tuliishia kwa miaka 10 akaja akaolewa numewe akawa hailewi nikachaana nae urafiki lkn. Hata cku moja hatukuwai kujadili au kuwaza kuingia ktk mahusiano cc kwa cc

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Mdogo wangu, dunia ya zamani sio sawa na sasa. Humu mitandanoni kuna watu wabaya sana. Inawezekana hata mimi Infantry Soldier ni mtu mbaya sana (sio mtu mzuri). Utakuja kuingizwa katika mitandao ya wahalifu kwa kutaka taka kuzoeana na "strangers"
 
Naomba mkeo awe rafiki yangu, nakuahidi kwa roho moja sitamgegeda.. Namba yake nitumie inbox, please trust me
 
Marafiki hawatafutwi bali wanakuja katika maisha yako na kondoka "automatically"
Katika maisha kuna mitaji mikubwa mitatu;
1. Health capital
2. Human capital
3.Financial capital

Mitaji yote hii inaongezwa kwa kuitafuta kwa juhudi usiku na mchana, afya yako unatakiwa kuitetea usk na mchana, mtaji wa watu, unatakiwa kuwekeza kwa watu usk na mchana, upate watu wengi ambao watakuwa direct or indirect connected na other capitals.
Financial capital najua hapo unajua kwa kinaa sana.

To summarise it, ni kwamba mitaji yote mitatu inahitaji kutafutwa kwa juhudi zote, hakuna mtaji utakaokuja kwa kudra za mwenyezi Mungu bila jitihada na Sala.

Asante!!!
 
Mdogo wangu, dunia ya zamani sio sawa na sasa. Humu mitandanoni kuna watu wabaya sana. Inawezekana hata mimi Infantry Soldier ni mtu mbaya sana (sio mtu mzuri). Utakuja kuingizwa katika mitandao ya wahalifu kwa kutaka taka kuzoeana na "strangers"
Mkuu kwanza mm sio dogo

Nashukuru kwa ushauli wako,

Isipokuwa ipo hivi ,cc tunaoishi ktk jamii ndio cc tupo humu humu ktk mitandao ya kijamiii , sasa basi hata huku mtaani wahalifu wapo wengi sana tena wa aina tofauti , lkn pia hata huku ktk mitandao tupo wastarabu ,

Ukikutana na mtu chukua tahadhali lkn muamini pia lolote linaweza kutokea ,

Wangapi wameibiwa na wake zao,

wangapi wameibiwa na watoto zao

Wangapi wameibiwa na waume zao

Wangapi wameibiwa na watu waliowaamini kwa miaka kibao

Wizi au uhalifu wa mtu yeyote ni tabia au tamaaa na sio kila mtu anaibiwa au kutapeliwa

Sawa. Basi mimi ndio rafiki yako wa kwanza
 
Katika maisha kuna mitaji mikubwa mitatu;
1. Health capital
2. Human capital
3.Financial capital

Mitaji yote hii inaongezwa kwa kuitafuta kwa juhudi usiku na mchana, afya yako unatakiwa kuitetea usk na mchana, mtaji wa watu, unatakiwa kuwekeza kwa watu usk na mchana, upate watu wengi ambao watakuwa direct or indirect connected na other capitals.
Financial capital najua hapo unajua kwa kinaa sana.

To summarise it, ni kwamba mitaji yote mitatu inahitaji kutafutwa kwa juhudi zote, hakuna mtaji utakaokuja kwa kudra za mwenyezi Mungu bila jitihada na Sala.

Asante!!!
Upo sahihi kabisa ,

Mwenyezi mungu amesema baada ya swala tawanyikeni mkatafyte riziki,

Sasa ww muombe mungu akupatia tiziki kisha kisha kaa ndan usubili kile ulichokiomba,

Alafu ktk maisha ukiogopa tu kuibiwa huendelei kamwe,

Embu mfikilie bakhresa angefungua kiwanda kimoja alafu akakaa pale kusimamia akiogipa akifungua kingine ataibiwa leo hii angekuwa wapi?

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom