Derick Elisha
New Member
- Nov 29, 2017
- 4
- 1
Habari wanajamii,
Kama caption juu inavyojieleza,
Natafuta rafiki wa kike, rafiki ambaye atakuwa kioo kwangu na mimi kioo kwake, rafiki mwaminifu mwenye upendo na nidhamu ambaye tutaweza shirikiana mawazo pale inapobidi.
Mimi ni mwanaume umri miaka thelathini nipo Kibondo. Mengine tutajuana zaidi jinsi tutavyokuwa tunawasiliana.
Thanks in regards