Natafuta rafiki wa kuchati naye Kigoma

Slai

Member
Jul 18, 2018
9
1
ndugu wanajamii forum.

Nimehamishiwa kikazi Kigoma. Najisikia mpweke sana. Sina maana kuwa nataka kufanya ufuska. lakini natamani angalau demu wa kuchati naye tu. lakini aliye kigoma.
Karibu inbox
 
Back
Top Bottom