Anahitaji damu changa.
Mzee bwana, huyu jamaa anatafuta mtu wa kuchat nae ila vigezo na mashrti kuzingatiwa....mimi nilio nao wa kuchat nao wananitosha asee.....nani anataka kujiongezea majanga usiku huu
Kama ni damu tu si aende benki ya damu Muhimbili...
Hahah kule kwani wanatofautisha changa na zee? hahaha
Jamani mawazo ya mtu ya heshimiwe nitaomba muongozo sasa ivi?
Jamani mawazo ya mtu ya heshimiwe nitaomba muongozo sasa ivi?
Tukusaidie kompasi na ramani ili upate muongozo?
Mh! Iyo noma@watu8