Natafuta rafiki wa kike

Rubeyason

New Member
Jun 29, 2021
1
2
Habarini.

Nipo Dar kimaisha na kimakazi na natafuta rafiki wa karibu sana ambaye atakuwa nami kimaisha na kimapenzi. Nipo serious na nina mapenzi ya dhati. Umri wake usizidi miaka 50 nami umri wangu ni miaka 49.

Tuwasiliane kwa namba 0784355760.
 
Wandugu mpaka mtu anaamua kuweka na mawasiliano yake, msimfanyie hivi.. Maisha na mahusiano havina mjanja wala baunsa! Hatujui kapitia nini nasi hatujui tutapitia nini kesho yetu itakapowadia...

Sent using Jamii Forums mobile app

Vitu vingine ni kujiendekeza tu. Mtu mzima anakuja kutafuta rafiki humu kwani anaishi porini? Hawa walioko humu sindio hao hao waliopo mitaani, ofisini, kanisani, nk yeye hawaoni? Kama amewashindwa hao ambao anawajua, hawa asiowajua ndio atawaweza? Au anadhani wa humu wanatoka mbinguni?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom