Natafuta rafiki wa kike

20 Maker

Member
May 4, 2019
35
125
Umri: 33
Makazi: Morogoro
Elimu: Nimeishia Kidato cha Sits
Kazi: Nimejiajiri
Rangi:Mweupe
Kuhusu Mimi: Mwenye hofu ya mungu lakini Conscious ingawa nilikuwa Roman Catholic

Ninayemtaka
Umri:24-28
Elimu:Ajue kusoma na kuandika,form four na kuendelea itapendeza
Kazi:Sio kigezo kwangu
Rangi: Napenda awe mweusi,mrefu mwenye afya asiyejichubua/no skin bleaching
Dini: Sio kigezo kwangu,itapendeza sana awe na hofu ya mungu na awe tu Conscious
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom