M Museven JF-Expert Member Aug 22, 2011 629 447 Sep 22, 2011 #1 Mi ni mwanamme, nahitaji msichana awe girlfriend wangu. Awe mtiifu, mwenye nidhamu na anayeishi Kahama. Kwa mawasiliano just PM me.
Mi ni mwanamme, nahitaji msichana awe girlfriend wangu. Awe mtiifu, mwenye nidhamu na anayeishi Kahama. Kwa mawasiliano just PM me.
Vin Diesel JF-Expert Member Mar 1, 2011 9,088 6,368 Sep 22, 2011 #2 Na awe tayari kuishi Uganda. Kila la kheri mkuu
Power G JF-Expert Member Apr 20, 2011 3,886 1,193 Sep 22, 2011 #3 Wewe Prezida wa Uganda, unataka girl friend wakati mai waifu wako ni minister kwenye serikali yako! Unanishangaza sana!
Wewe Prezida wa Uganda, unataka girl friend wakati mai waifu wako ni minister kwenye serikali yako! Unanishangaza sana!
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,625 68,546 Sep 22, 2011 #4 Poa mkubwa mu7 utapata tu...
T Tikerra JF-Expert Member Sep 3, 2008 1,702 146 Sep 22, 2011 #5 Ninyi watu ovyo sana,unatafuta girlfriend JF!?Mtakuja kuparamia ma-Freemason mnyonywe damu mkome.Kwa nini usiende kwenu ukatafuta mwanamke? Museven said: Mi ni mwanamme, nahitaji msichana awe girlfriend wangu. Awe mtiifu, mwenye nidhamu na anayeishi Kahama. Kwa mawasiliano just PM me. Click to expand...
Ninyi watu ovyo sana,unatafuta girlfriend JF!?Mtakuja kuparamia ma-Freemason mnyonywe damu mkome.Kwa nini usiende kwenu ukatafuta mwanamke? Museven said: Mi ni mwanamme, nahitaji msichana awe girlfriend wangu. Awe mtiifu, mwenye nidhamu na anayeishi Kahama. Kwa mawasiliano just PM me. Click to expand...
Mzee JF-Expert Member Feb 2, 2011 13,597 5,788 Sep 23, 2011 #6 Kweli vijana wa siku hizi wameishiwa na mistari.