Hello beautiful
Member
- Feb 13, 2019
- 69
- 98
Njoo kwangu, kigezo changu kimoja tu usiniombe hela
Endelea kukaa kwenu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Njoo kwangu, kigezo changu kimoja tu usiniombe hela
Poa, na sitoki homeEndelea kukaa kwenu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Poa, na sitoki home
Sio kila mwanamke msomi anaweza kuwa mke boraJapo una degree ila uko sahihi kabsa
Dada zetu wanahitimu kwa kumuhonga prof mchezo bora kuja tu JF.
KILA LA KHERI
Siwezi kukumind kwasababu hiyo ni perception yako tu, na hujui mazingira yangu binafsi, ya kazi na hata association niliyopo. That's why umejiongeza kunitengenezea reality yako. Anyway thanks🙏Ungekua mtu mwenye malengo, unaejua nini unataka, na unaejituma ungeandika huu uzi?
Don't mind me.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafanya kazi space station?Siwezi kukumind kwasababu hiyo ni perception yako tu, na hujui mazingira yangu binafsi, ya kazi na hata association niliyopo. That's why umejiongeza kunitengenezea reality yako. Anyway thanks
Inert station
Shukran sana nitazingatia sana Sema nilikuwa nahitaji kuwa nae kwenye mahusiano mbeleni huko at least 2-4 years ndio nioeDogo jitahidi walau ufikie miaka 28 au 30 hivi ndipo ufanye hayo maamuzi ya kuoa. Kwa sasa jitahidi kwanza uifahamu kwa kina dunia ya mapenzi jinsi ilivyo. Zingatia huu ushauri wangu. Wewe ni msomi.
Shukran sana nitazingatia sana Sema nilikuwa nahitaji kuwa nae kwenye mahusiano mbeleni huko at least 2-4 years ndio nioe
Shukran sana kwa huu ushauri, ujue sometimes unatamani uwe hata na mtu mkashare ideas, plans, funs hata challenges pia. Sema nitayafanyia kazi haya🙏🙏Wanawake wa kuwaandaa miaka 2-4 walikuwa ni wale wa zamani. Kwa sasa ni chini ya miaka 2 unaweka chombo ndani. Kwa umri wako huo, jaribu kujenga kwanza misingi ya maisha yako ya sasa na baadae.
Tafuta kiwanja, jenga nyumba, nunua usafiri, anzisha biashara ya ziada nje ya kazi, saidia wazazi, ndugu na jamaa, nk. Wanawake wa miaka hii siyo wale wa kutaka muanzie kwenye 0! Hupenda kuolewa na mtu ambaye tayari ana uelekeo wa kimaisha na pia kimaendeleo.
Muu Sijaelewa hiyo sentence ifafanue kidogoWanakuja ila angalia usikutane na wale wa service for marinda! Wanapenda sana marafiki hao!!