Natafuta rafiki wa kike umri kuanzia miaka 22 hadi 35

KENET

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
258
83
Mimi ni Kijana Mtanzania,Natafuta rafiki wa kike na niko serious,awe mkweli,mchapakazi,mwaminifu elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea, umri wake uwe kuanzia miaka 22 hadi 35,awe anaishi Dar au ana mazoea ya kutembelea Dar.Aliye tayari ani PM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom