Natafuta rafiki wa kike baadae awe mpenzi

Akotia

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
452
1,067
Habari

Kwa kipindi kirefu nimekua sina rafiki wa kike hata wa kujualiana hali kwa text,upweke ukastawi na leo nikasema upweke basi acha nijaribu kutafuta hapa kwenye mtandao wangu wa jf.

Sio kama sina marafiki wa kike,hapana ninao ila kila mmoja na time yake na hamna yoyote ambae anaweza kua mpenzi wangu wengine my exes tu.

Ukizingatia situmii mtandao mwingine zaidi ya jf(nina id mbili) haina budi kujaribu hapa hapa.sifa zangu
  1. Kijana msomi na nina miaka 24,naishi dar
  2. Nimeajiriwa (fundi)
  3. Nina muonekano mzuri
  4. Ni mcheshi,sina drama na nimuelewa pia
  5. Muaminifu na mkweli
  6. Muislam
Sifa zako
  1. Uwe dar
  2. Uwe unavutia
  3. Uwe mkweli
Asanteni na karibuni
 
Mwanaume halafu sifa moja wapo eti una mwonekano mzuri... hili litakuwa shoga walahi nawaambia
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom