Natafuta rafiki wa kike, au mchumba baadaye awe mke kabisa

Irrigation

Member
Nov 16, 2022
8
6
Mm ni mkazi wa Dar es salaam, ni kijana mwenye miaka 30 kwa sasa, pia ni mkristo. Mjasiriamali pia. Natafuta rafiki wa kike, pia mchumba kama itawezekana pia, baadaye awe mke. Umri wake ni miaka 27 mpaka 30. Dini yeyote pia sichagui, elimu kuanzia kidato Cha nne, atokee sehemu yeyote Tanzania hii, ila mkazi wa Dar es salaam atapewa kipaumbele zaidi. Dada, Binti mwenye vigezo hivyo karibu sana, Pm.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom