Natafuta rafiki wa kike atayekua mke wangu wa ndoa

Utamuwayesu

Member
Sep 30, 2018
15
45
Hi,Wana jf habari zenu.Natafuta rafiki wa kike ambaye nitamuoa nakuanzisha maisha mapya ya ndoa.umri wangu ni miaka Kati ya 30-40.

Mke awe na umriv20 na kuendelea,awe anaishi popote Tanzania.Alie tyr tuwasiliane pm
 

to yeye

JF-Expert Member
May 30, 2016
4,517
2,000
Ningempatia ila kigezo cha kaz ni muhimu maana hakuna mama anaetaka mtoto alale njaa
 

Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
11,943
2,000
Matatizo ya Wanaume kufariki kabla ya mwanamke yanaanzia hapa,tafuta wa rika yako mje kufa pamoja wa miaka 20 utamucha wengine watafaidi.
 

Paula Paul

JF-Expert Member
Oct 23, 2019
4,194
2,000
Mkuu ndoa zinavotafutwa kwa nguvu hivi mtaani huku.

Hapo jiandae kwa pm foleni kubwa.
Ushindani ni mkubwa.
Idadi ya "wanaume" wanaotafuta "wanaume" wa kuwa nao kwenye mahusiano inazidi kuongezeka hadi sisi wanawake tunaostahili hao wanaume tunakosa. Umeelewa?

Kuhusu OP atakuwa tayari amepata foleni kubwa ndio sababu nimetuma ujumbe mpaka sasa hivi haujasomwa.
 

Mubarridi

JF-Expert Member
Apr 6, 2018
22,082
2,000
Hapana sio.
Wanaume ni wachache halafu hao hao kuna wanaume (gays) wanawataka, halafu bado sisi wanawake tunawataka.
Umeelewa? Yaani wanakuwa wachache zaidi.
Bado unataka mwanaume au una wawakilisha wenzako ambao hawana wanaume ?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom