Natafuta rafiki mwanaume

Mimi ni mwanamke mwenye miaka 40 sijawahi kuolewa wala kuzaa.

Natafuta mwanaume ambae tayari ana watoto ila sio mume wa mtu tutasaidiana kulea awe na miaka kuanzia 40.

Najitegemea nina kwangu na nasaidia ndugu zangu wasiojiweza kulea watoto wao.

Wenye maswali na comments za kejeli mnakaribishwa pia.

Asanteni.

Unataka ndoa au mahusiano tu?
 
KAMA UNGEPATA IDEA NZURI YA KUWA SINGLE MOTHER YAANI KUZAA NA KULEA MTOTO TUU ,,,BILA YA KUKAA NA MUME ,
UNGETAFUTA RAFIKI AKO WA KIUME AU MTU WAKO WA KARIBU KAMA RAFIKI VILE WA KIUME MIDA ILE ULIPOKUWA NA MIAKA 20s or before 33 YEARS OF AGE UKAONGEA NAE UKAMTUNUKU KIBUYU CHA ASALI JAMA ANGEKUBALI KUKUPA MAZIWA YAKEE

DAH ASEEEEEEEE
 
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 40 sijawahi kuolewa wala kuzaa.

Natafuta mwanaume ambae tayari ana watoto ila sio mume wa mtu tutasaidiana kulea awe na miaka kuanzia 40.

Najitegemea nina kwangu na nasaidia ndugu zangu wasiojiweza kulea watoto wao.

Wenye maswali na comments za kejeli mnakaribishwa pia.

Asanteni.
Mimi najitolea nafasi ya BeniTeni ukiondoa kigezo cha umri
 
Mwanaume wa 40yrs ambaye ana watoto na yupo bado single yaani ambaye hana serious relationship yeyote,we utamuweza??! Hayo yatàkuwa makinikia. Anyway all the best.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom