Natafuta rafiki bora kabisa wa kike baada ya mtu nlomthamini kuamua tuachane bila sababu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta rafiki bora kabisa wa kike baada ya mtu nlomthamini kuamua tuachane bila sababu

Discussion in 'Love Connect' started by kido madini, Oct 13, 2012.

 1. k

  kido madini Senior Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  jamani wana jamii, mimi ni kijana wa miaka 21,ni mwanafunzi wa diploma ya sheria ,nlikua na rafiki angu wa kike nlompenda kwa dhati kabisa lakini ikatokea bila sababu judy akaamua tuachane na hivi sasa imepita miezi minne tangu tuachane,nlikua nukimvumilia labda anweza kubadilika na kurudi nyuma kwani ni mahusiano yetu ni tangu 2009 mpaka mezi wa sita mwaka huu,hivyo nahitaji mtu mpya nkae fahamiana nae kwanza kwanza,mie nipo dar es salaam maeneo ya airport
   
 2. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,404
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Haukumpenda Dada Wa Watu,Mwanaume Hakubali Kirahisi Kuachwa Namna Hiyo!
  Alafu Eti Unaachwa Bila Kujua Sababu!??
  OK!!Je,Umefanya Juhudi Zozote Kwa Miezi Hyo Kuonesha Ujali Wa Kurudisha Penzi(Kubembeleza)?

  Ni Vema Kwa Mda Huu Ukajitathmini Mapungufu Yako Kwanza,Kwani Unaweza Ukampata Mwingine Naye Akatoka Nduki Vilevile!
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,254
  Likes Received: 4,242
  Trophy Points: 280
  jitathmini......
   
 4. N

  Neylu JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,645
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hakuna jambo linalotokea bila sababu mdogo wangu....! Lazima kuna sababu ya yeye kukubwaga, fatilia uijue inaweza kukusaidia ukajirekebisha kwenye hayo mahusiano yako mapya unayotaka kuyaanzisha..! Kila la heri..!
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,139
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  sasa miaka 21 unahaha nini?

  Hata maisha bado hujayaanza, mbona eapoti kuna watoto wengi wazuri tu.

  Sasa mie nikikutaka utafanyaje?? Nina miaka 51.
   
 6. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,404
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Lol!
  Mhwe!
   
 7. Fasouls

  Fasouls JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 906
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  soma kwanza acha upuuzi,
   
 8. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,446
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  wewe nakuhakikishia utadisco usipo angalia wengine wakiachw hufurahia wewe unalia lia
  Join Date : 13th October 2012
  yaani kilichokuleta huku ni mchumba tuu!!!!!!!!!!!!!!!!aibu
   
 9. s

  smartman Member

  #9
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kijana mshika mawili moja humponyoka
   
Loading...