Natafuta puppies-German sherpherds

Laibon

Member
Jun 22, 2009
9
1
Ndugu habarini za mchana- nina shida kweli ya kupata puppies-German shephered breed. Kama kuna mwenye idea wanapatikana wapi nitashukuru sana
 
Piga 0754710068...ila bei imechangamka sana kaka!!kama hana huyo atakuambia uende wapi!!
 
Ndugu habarini za mchana- nina shida kweli ya kupata puppies-German shephered breed. Kama kuna mwenye idea wanapatikana wapi nitashukuru sana

Kumbe German Shephered siku hizi ni celeb?

Anyway mp XSPN wangu nilichukuwa kwake.

lg_artwork.jpg
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom