Polisi kikosi cha mbwa Kilwa road..
Piga 0754710068...ila bei imechangamka sana kaka!!kama hana huyo atakuambia uende wapi!!
Mkuu kama hautajali weweza kutuambia wadau makisio ya bei.
Ndugu habarini za mchana- nina shida kweli ya kupata puppies-German shephered breed. Kama kuna mwenye idea wanapatikana wapi nitashukuru sana