Natafuta Punda wa Kununua!

M-pesa

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
602
151
Nipo Dar es salaam, nataka kufuga punda. Naombeni mwenye kujua wapi nitawapata kama watatu(3) na bei yake ili tufanye mchakato wa kuwapeleka kwenye boma langu.
Asanteni sana bandugu!
 
Hongera kwa kupenda kuwafuga punda. Je unaweza ukaja hapa Singida ukawapata mara moja maeneo ya Itaja km 30 toka Singida mjini. Bei @180000. Ni pm tuwasiliane.
 
Why some people wapo full jocks? Punda milia wap na wapi? Guys tuwe makini some times kama uwezi kumsaidia mtu,pita zako tu sio ustarabu kumwuliza mtu maswali mabovu
 
Asante mkuu, kuna member humu nina mtumia pm sasa hivi. yeye yupo maeneo ya Singida ananiambia huko ni bei poa sana.

jaribu kuwasiliana na sokoine university.ingia kwenye web yao uwapigie..
 
Kihongwe preta! milia nitaozea jela!!!

orait.....dah....ila sasa huyu si anahitaji eneo kubwa sana la kumuweka....?....maana sijawahi kuona akifugwa ndani ujue.....
huku Yaeda wapo wengi sana ila sijajua wanauzwa sh ngapi.......
je nikikuulizia bei utakuja kumnunua...?

Milia hutaozea jela.....ukifuata taratibu zote unamliki....akikuchosha......unamrestisha kwenye sufuria......
 
Kuhusu eneo nilalo kubwa Preta ( ekari tatu nadhani zinatosha)

Yaeda ndo wapi huko? si vibaya ukinisaidia kuuliza bei.

Punda milia a.k.a Zebra simuhitaji! Mi namtaka huyu punda kihongwe ili afanye kazi......kama siku simuhitaji nitamuuza.

orait.....dah....ila sasa huyu si anahitaji eneo kubwa sana la kumuweka....?....maana sijawahi kuona akifugwa ndani ujue.....
huku Yaeda wapo wengi sana ila sijajua wanauzwa sh ngapi.......
je nikikuulizia bei utakuja kumnunua...?

Milia hutaozea jela.....ukifuata taratibu zote unamliki....akikuchosha......unamrestisha kwenye sufuria......
 
Preta, mimi nataka kihongwe pia, naweza kumrestisha kwenye sufuria nikimchoka?

mmmh....kihongwe......rest in peace kwenye sufuria....sikushauri japo sidhani.......
hivi umewahi kukisikia kisa cha kihongwe kule Meru.....?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom