Natafuta PS2 Used

leh

JF-Expert Member
May 30, 2012
827
363
natafuta ps2 ambayo ni used. PM kama unayo unauza
 
Mkuu samahani kwa kuuliza kisichohusika kwenye post yako..
Nina PS 2 Ila ina matatizo kwenye upande wa CD...cjui kwa uzoefu wako wapi naweza pata Fundi mzuri
 
nakuja nayo tz mid june.. Nitakuuzia na pal original cds 10 kwa laki 3 tu
 
Mkuu samahani kwa kuuliza kisichohusika kwenye post yako..
Nina PS 2 Ila ina matatizo kwenye upande wa CD...cjui kwa uzoefu wako wapi naweza pata Fundi mzuri

kituo cha basi kongo kkoo upande wa pili barabara kuna bango kubwa la uhuru computers kwa mbele kama unaenda round about kuna jamaa wanazitengeneza ..utaona joystics/pad za ps/xbox nyingiii, ndio hapo/au uliza
 
Shukrani sana mkuu vanmedy..nitapatafuta hapo nipeleke kitu yangu...ni mpya kabisa frm abroad nimetumia kidogo sehemu ya CD ikazingua...nahisi ni tatizo dogo tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom