wanajamvi habari za jioni kwq yyte anayeuza au kujua nitapata wap projector hizo anifahamishe au atoe kontact zak tuwasiliane ninazihitaji zile hata kwenye mwanga unaona vizuri
Mzigo nimetuma kutoka huku U.K(London) now unapatikana dar,shop no 14,msimbazi street opposite to Bigbonstation.
PROJECTORS:
Mitsubishi
Nec
Hp
sanyo
Focus
Epson
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.