natafuta proffesional camera ya still puctures

Architect E.M

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,211
1,359
za kazi wadau,,, natafuta digital camera, a proffesional one, preffarably sony, or canon.. Mwenye kufanya biashara za kuuza camera, tafadhali changamkia hiyo... Natanguliza shukrani za dhati
 
Hi, mimi ninayo CANON 40D PROFESSIONAL CAMERA naiuza coz nimenunua CANON 60D bei poa 800,000 maelewano yapo lakini FLASH LIGHT yake wameniibia.

CANON.jpg
 
Ninayo Canon Mark II 5D naweza kukuuzia kwa milioni 4 Body pamoja na Lens ya 70-100mm bila flash. Kama unataka professional camera kweli. Na hii camera pia inafanya HD videos na ndo inatumika sana kufanya videos mamtoni.

D3S_4093-1200.jpg

Hii ni movie moja wapo ambayo wametumia hii camera
Cap%21.jpg

redrock_dslr_rig.jpg
 
asante boss,,, lakini hii ni kubwa saaana mkuu,,, this is extra proffesional.... Na bei yake pia ni toooo much out of my budget
 
za kazi wadau,,, natafuta digital camera, a proffesional one, preffarably sony, or canon.. Mwenye kufanya biashara za kuuza camera, tafadhali changamkia hiyo... Natanguliza shukrani za dhati

Mkuu habari za kazi.Mimi huwa nauza Camera za kutokea Uingereza na kuna mzigo upo njiani nategemea katikati ya wiki hii utafika.Sasa kuna Sony Alpha Pofessional A200 10.2MP Digital SLR Camera.Nauza pamoja na Lens SIGMA 70-210 mm F4/5.6 Auto focus Zoom Multi coated Lens,Compact Flash Memory Card 4GB pamoja na charger.Bei ni Tshs 650,000.Kama upo happy naomba unitumie PM halafu nitakupa namba ya simu nilie mkabidhi.
DSC05067.JPG DSC05061.JPG DSC05066.JPG
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom