Natafuta Professional IT

2-Alpha Over

Senior Member
Jun 8, 2021
122
126
Habari za muda huu wakuu, naomba Kama bango linavyojieleza hapo juu natafuta professional IT aliyeko Dsm tuwasiliane Kuna kazi nimpatie ya kufanya malipo negotiable hakuna tatzo kulingana na ukubwa wa kazi bila Shaka nitegemee kupata.

Kama upo huku dsm naomba Pm Then tuone kazi tunafanyaje hasa mwenye ujuzi wa program ya WHITE HAT HACKING.. IT mnaelewa vzr bila Shaka nikisema hivo.

Asanteni. Hope this thread finds you all in Time.
 
Njoo pm eleza shida toa kazi ifanywe Ila sipo dar na sitegemei kuonana na wewe malipo baada ya kazi na sijawahi kuzulumiwa pia
 
Description ya kazi unatoa juu juu tu. Weka maelezo yote. Kazi ni ya networking? Na kama ni networking mtu anakua anafanya kazi gani?. Maana networking ni pana.
 
mkuu ulimpata au bado mtu tehama kuna mtu nikupe nmba yake nina iman utojutia kuweka bango lako jf.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom