Natafuta printers wa shopping bags kwa bei nafuu

Mrembo

JF-Expert Member
Oct 9, 2008
414
210
Habari zenu wakuu,

Jamani mimi ni mjasiliamali. natafuta mahali ambapo nitaweza kupa mifuko ya ambayo nitaprint my logo, kwa ajili ya kuwawekea wateja wangu bidhaa.

mwenye information naomba anisaidie.

nawatakia wote siku njema
 
nimezunguka kwa printers wengi wanasema hawaprint plastic bags!
 
jamani mawazo mengine yanakaribishwa. nimeona watu wengine wanaagiza china. je is it cheaper kuprint China ukiingiza gharama za usafirishaji na kodi?
 
Back
Top Bottom